Category: News

LAWASCO TEAM

Lawasco Team Leo imeendelea na kazi ya kurekebisha mifereji ya maji kama ilivyo wajibu. Hapa wanarekebisha mifereji ya maji yakuvuka bahari kwenda Ras kitau. Mungu ibariki Lawasco.