LAWASCO TEAM

Lawasco Team Leo imeendelea na kazi ya kurekebisha mifereji ya maji kama ilivyo wajibu.

Hapa wanarekebisha mifereji ya maji yakuvuka bahari kwenda Ras kitau.

Mungu ibariki Lawasco.